Mshiriki wa kwanza kuvunja amri ya sita ndani ya jumba la BBA amfuata mpenziwe nje.
Baada ya Bety mshiriki kutoka Ethiopia aliyekuwa mpenzi wa Bolt kuliaga jumba la kaka mkubwa wiki iliyopita,hatimaye Bolt nae amfuata mpenzi wake,ikiwa watanzania Feza na Nando waliokuwa ndio viongozi wa nyumba waliombwa kuwataja waliowaokoa na kuwaweka katika kikaango ambapo Feza alimuokoa Sulu na kumuweka Pokelo,wakati Nando alijiokoa mwenyewe na kumuweka Maria kwenye kikaango.Baada ya Mc Ik kuwataka washiriki waliokuwa kikangoni kusimama .Wiki hii utaratibu ulibadilika kidogo ambapo Bolt alikuwa wa kwanza kutajwa na bila ya kungoja binti mrembo kutoka Namibia Maria alitajwa hapo hapo.
Kibarua kinaoneka kuwa kigumu kwa Feza ambapo ambaye aliyemuweka kwenye kikaango hajatoka na anaonekana kupendwa sana na watazamaji.Usiku huo ulipambwa na msanii kutoka Afrika ya kusini AKA ambapo alitumbuiza nyimbo zake kali mbili ikiwemo Control pamoja na jelous.
Angola: Pokello
Botswana: Dillish
Ghana: Pokello
Kenya: Annabel
Ethiopia: Dillish
Malawi: Natasha
Namibia: Maria
Nigeria: Dillish
South Africa: Pokello
Sierra Leone: Bolt
Tanzania: Annabel
Uganda: Annabel
Zambia: Hakeem
Zimbabwe: Pokello
Rest of Africa: Dillish
Total: Pokello = 4; Dillish = 4; Annabel =3, Natasha = 1, Hakeem = 1, Bolt = 1, Maria = 1.
Please Note: The tie breaker rules ilitumika kwa Maria, Natasha, Bolt na Hakeem ambao wote walipata kura moja kwa ujumla,na hapo washiriki waliopata wastani wa chini kwa nchi zote ni Bolt naMaria