
Big Sean na mpenzi wake wake ambae wameingia nae kwenye uvumi wanafanya muziki mzuri pamoja sasa.
Big Sean anasema anaenjoy kufanya kufanya kazi na Ariana Grande mtu ambae uvumi kibao imeenea kwamba wanatoka pamoja.
“Mimi na Ariana Grande tunafanya ngoma nyingi pamoja na chemistry kati yangu na yeye tunapofanya kazi ni nzuri sana, Tuna ngoma kibao tunafanyia kazi pia, nahisi sauti yake ni nzuri sana, sauti ianyotoka kwake ni noma, huenda mimi ndo nilikuwa wa kwanza kutweet kuhusu Arian, mimi nay eye tumekuwa marafiki kwa miaka mingi kabla ya kitu chochote” alisema Big Sean wakati akipiga stories na MTV.
Big Sean na Grande ambao wameshirikiana kwenye ngoma ya “Best Mistake” na “Right there” walionekana wakishikana mikono backstage kwenye tuzo za mwaka huu za MTV, Seana anasema hakuwa na tatizo kuhusu ile clip waliyoonekana
Grande amefanya kazi na marepa wengine akiwemo Nicki Minaj na Iggy Azalea.
