Msanii wa kufoka foka wa nchini marekani aliyeanza usanii akiwa bado mtoto mdogo kabisa Aliyewahi kutambulika na jina la Lil Bow wow na Abaye Ni Mtangazaji wa HOT 97 Shad moss, Amesema ni muda wa kubadilisha jina sasa na kutumia real name yake ambayo ni Shad moss kutokana na jina la Bow Wow Kutokua katika hadhi yake tena
Msanii Huyo Ambaye Amekuwa akirusha vijembe kwa ma hates wake kupitia ukurasa wake wa Instagram
Amesema mara baada tu ya Tuzo za BET Jina La Bow Wow Litakufa siku hiyo
Hata Hivyo Hii si mara ya kwanza kwa msanii huyo kumega nick name yake kila muda unavyokwenda kwani hapo mwanzo alitoa Lil kwa maana ya kwamba yeye si lil tena ni grownup na sasa hata usanii anaonekana kutoukubali tena zaidi ya anachokifanya sasa
Huu ni ujumbe wake kwa mashabiki zake