Uzinduzi wa Big Brother Africa Season 8, na kama ilivyobatizwa jina la THE CHASE umezinduliwa jana katika kiota cha samaki samaki city center huku pakiwa na wageni waalikwa kutoka vyombo mbalimbali vya habari na wadau wengine katika sekta ya burudani.
Uzinduzi huo uliambatana na chakula pamoja na vinywaji huku AIRTEL ambao ndo wamedhamini shughuli hiyo wakitoa zawadi za sim aina ya Samsung S4 kwa washindi zaidi ya watatu walioshiriki katika bahati nasinu mbalimbali na vimichezo vya hapa na pale
Watu walionekana kufurahishwa zaidi na washiriki wetu ambao wametuwakilisha kwa mwaka huu, ambao ni Feza kessy aliyewahi kuwa mrembo wa ilala na mashindanio ya miss Tanzania Huku kukiwa na kijana mwingine mpya kabisa machoni pa watu lakini mwenye muonekano wa kuvutia na kutia imani katika uwakilishi huu anaekwenda kwa jina la NANDO
TAZAMA PICHA MBALI MBALI ZA JINSI UZINDUZI ULIVYOKUWA
MWANAMUZUKI AY AKISOMA JINA LA MSHINDI BAADA YA KUMCHAGUKA KATIKA KIBOX
DENNIS FUSI KUTOKA DAILY NEWS NI MOJA KATI YA WASHINDI WALIOJISHINDIA SAMSUNG S4 KULIA NI MSHEHERESHAJI WA USIKU HUO MILLAD AYO
WANA MAGAZETI TANDO HAO WAKIFUATILIA KWA KARIBU UZINDUZI HUUO
LULU AKIWA NA ALIYEWAHI KUWA MSHIRIKI WA BIG BROTHER BHOKE
MKUU WA KITENGO CHA MASOKO DSTV FURAHA SAMALU AKIWA NA MKURUGENZI WA HEINEKEN TANZANIA UCHE UNIGWE
MENEJA UHUSIANO WA MULT CHOICE TANZANIA BARBARA KAMBOGI AKITETA JAMBO NA MASHEHERESHAJI WA SHUGHULI HIYO MILLAD AYO
SALMA MSANGI KUTOKA KUSHOTO, BARBARA KAMBOGI, SINTAH, HILDA NA BHOKE
MA BLOGGER HAO
CATHBET ANGELO WA HABARI NA MATUKIO BLOG AKIPATA FURSA YA KUCHAGUA MOJA KATI YA WSHINDI WALIOJISHINDIA ZAWADI MBALIMBALI
SHANGWE ZA KUWAPOKEA WASHIRIKI WETU KWA FURAHA ZIKIENDELEA
SWAGG BOYS OMMY DIMPOZ NA B12
NA HAWA NDIO WAHIRIKI WETUUUUU
MVULANA ALIYESHIKA BENDERA YA TAZANIA ANAITWA NANDO
FEZA KESS AKIPEPERUSHA BENDERA KULIA NI IK MSHEHERESHAJI WA MASHINDANO YA BBA
PHOTO CREDIT: HABARI NA MATUKIO