Waziri Wa maliasili na utalii Mh balozi kagasheki amejiuzulu wadhifa wake baada ya mjadala mkubwa ulioibuka bungeni Mjini dodoma hivi punde tu, hii inatokana na operation tokomezi iliyolenga kuondoa ujangili uliokithiri nchini Waziri mkuu atangaza kuwa rais ametengua uwaziri wa wizara tatu rasmi zikiwemo ya Ulinzi chini ya Nchimbi, ya ulinzi chini ya Nahodha, ya mifugo chini ya Mathayo na Kagasheki aliyojiuzuru ya maliasili na utalii