Mkali wa ngoma ya “calm down” feat Eminem ikiwa ndo ngoma yake mpya iliyotoka mwishoni mwa mwezi uliopita, Busta Rhymes kutoka kwakE Aftermath na baadae kwenda Cash Money haikutokea kwa sababu kulikuwa na ugomvi.
Ngoma ya calm down itapatikana kwenye albamu ya Busta inayokuja inayoitwa Extiction Level Event 2, amesema ngoma hiyo ilikuwa ikifanyiwa kazi muda mrefu sasa alisema hayo wakati akipiga stories na Sway’s Universe.
Busta Rhymes anasema ngoma hiyo wameifanya mara ya tatu, ngoma ya kwanza ilikuwa na urefu wa dakika 3 na sekunde 6 lakini Eminem alivyoweka vesi yake ikawa na urefu wa dakika 6 na sekunde 6 ikabadilisha kila kitu.
Akizungumzia kuhusu lebo ya Cash Money, alisema hakuna kitu kibaya kilichotokea akaondoka Aftermath, lakini tofauti kweli na Aftermath hali ilikuwa zaidi yeye na Interscope, ilikuwa ni mambo ya hali ya kutafuta ubunifu ndio ulikuwa ugomvi…Kitu kizuri kuhusu mambo katika stage ile akiwa na Aftermath kila mtu aliheshimu kitu ambacho tayari alikuwa ameshatengeneza ndivyo hivyo tena kwa Cash Money, amekaa Cash Money kwa miaka miwili na nafasi hiyo ilikuwa nafasi nzuri kwake kutokana na deals alizofanya akiwa nao….aliongea na Bird akamwambia bro nashukuru sana kwa kila kitu, kati yetu ni upendo lakini nataka nione hili linaisha jinsi navyotaka nione likiisha.
Albamu yake ya Extinction Level Event 2 katika mahojiano yake na Complex aliweka wazi kwamba anatumaini albamu hiyo itatoka Novemba 2014 lakini ipo katikati kuendelea kufanyiwa kazi pamoja na mambo ya kisheria kwa sababu kuna ngoma watazisample, tarehe alisema tarehe kwa sasa bado hajajua lakini ni mweiz Novemba mwaka huu.
Busta Rhymes Atoka Cash Maney, Novemba Kuachia Albamu Ya Extiction Level Event 2
Previous Story
Snoopy Doggy Akubali Alivuta "Cha Arusha" Akiwa White House
Related Posts
-
-
NAIBU WAZIRI AINGILIA KATI UGOMVI WA LADY JAYDEE NA CLOUDS FM….RUGE AKIMBILIA MAHAKAMANI
-
TMT Movie Kuleta Mapinduzi Makubwa Bongo ILE Filamu
-
Princess Of R&B Ya Aaliyah Kuonyeshwa Novemba 15
-
Dj Khaled Azindua Headphones Za “We The Best”
-
Ssebo Wa Magic Fm Amhusia Ruge Kumpigia Magoti Lady Jay Dee
-
Robbin Thicke Kurudiana Na Mkewe??? Aonyesha Dalili Za Dhahiri Kabisa