HAPPY BIRTHDAY producer LUCCI, Awashukuru mashabiki zake kwa ujumbe huu mzito
Leo ni siku ya kuzaliwa ya Producer Lucci aliyefanya kazi ya kaka dada na mrembo Jokate na kujikuta akiingia katika skendo ya kuhusishwa kuwana mahusiano ya kimapenzi na Mrembo Huyo baada ya uhalisia katika video yao ya Kaka Dada kuleta utata. Hata hivyo wote wawili walikana kuwa na mahusiano a… Read More →
