Warning: Declaration of Ln_Responsive_Nav_Menu_Walker::start_lvl(&$output, $depth) should be compatible with Walker_Nav_Menu::start_lvl(&$output, $depth = 0, $args = Array) in /www/htdocs/w010c2b5/salmamsangi.com/wp-content/themes/brennuis/framework/extensions/extensions.walkers.php on line 0
Warning: Declaration of Ln_Responsive_Nav_Menu_Walker::end_lvl(&$output, $depth) should be compatible with Walker_Nav_Menu::end_lvl(&$output, $depth = 0, $args = Array) in /www/htdocs/w010c2b5/salmamsangi.com/wp-content/themes/brennuis/framework/extensions/extensions.walkers.php on line 0
Warning: Declaration of Ln_Responsive_Nav_Menu_Walker::start_el(&$output, $item, $depth, $args) should be compatible with Walker_Nav_Menu::start_el(&$output, $item, $depth = 0, $args = Array, $id = 0) in /www/htdocs/w010c2b5/salmamsangi.com/wp-content/themes/brennuis/framework/extensions/extensions.walkers.php on line 0
Warning: Declaration of Ln_Responsive_Nav_Menu_Walker::end_el(&$output, $item, $depth) should be compatible with Walker_Nav_Menu::end_el(&$output, $item, $depth = 0, $args = Array) in /www/htdocs/w010c2b5/salmamsangi.com/wp-content/themes/brennuis/framework/extensions/extensions.walkers.php on line 0
Warning: call_user_func_array() expects parameter 1 to be a valid callback, no array or string given in /www/htdocs/w010c2b5/salmamsangi.com/wp-includes/class-wp-hook.php on line 298 Bongoflava Archives - Page 24 of 24 - Salma MsangiSalma Msangi
Angalia picha nikiwa natengeaza kipindi cha xpress na akili the brain kwenye studio yake mpya iliopo ilala mta wa arusha. Amerudi na kitu chake kipya NAOGOPA.
Msanii Rachel anaetamva na wilmbo wake wa nashukuru umerejea, upepo na pilipili alofanya na bi Patrishia akiwa katika oficce za Magic Fm alipokuja kwa ajili ya kutambulisha wimbo wake mpya wa pilipili alofanya na bi patrishia. Pamoja na mambo mengine aliponda wasanii wanaodhani kujichubua ndio urembo na kwamba huko ni… Read More →
Usikose kutazama mahojiano yangu na na 20% ijumaa hii jatika kipindi cha MusicXpress ya ChannelTen saa mbili kamili usiku. Alikua hana pa kutokea 20% akifunguka kuhusu ugomvi wake na Man water pamoja na mengine mengi Kitendea kazi Mosses Massenga aka Fundiiii, Producer na Editor wa kipindi.
Kupitia ukurasa wake wa BBM Bob Junior amewashukuru friends zake pamoja na fans wake wote kwa dua zao kwani amefika salama Bob yupo nchini humo kwa ziara ya kimuziki ambayo itamchukua kama miezi miwili hadi mitatu katika nchi za Finland, Italy, Germany, Denmark, Sweden, Norway, Swiss, Holand na sehemu nyingine… Read More →