Picha: Ommy Dimpoz katika show yake ya Millan Italy

Bofya Kichwa cha habari kuona picha zaidi
Watu wanashtuka mtu akiongelea kifo, Utafikiri hawafahamu fika kuwa kila nafsi itakionja, Kwenye maisha yangu nimepitia mambo mengi, magumu na mepesi Na bado naendelea ku experience mambo magumu zaidi kadri ninavyozidi kuwa mkubwa. Siku za karibuni nimekuwa nikipigwa vita sana na watu wenye uwezo mkubwa kifedha , ki umri na… Read More →
Katika mwaka huu 2013, Inatimia miaka 13 tangu nianze kazi ya muziki. Nashukuru MUNGU tuko pamoja na pia, nashukuru umma wa Tanzania kwa kuendelea ku support muziki wa Tanzania na kunipa nguvu mimi kama msanii. Nashukuru vyombo vyote vya habari vinavyoshiriki kikamilifu kukuza na kulinda sanaa ya Tanzania bila kujali… Read More →
Msanii wa kizazi Kipya Bob Junior aliyekua kwenye Ziara ya kimuziki huko bara ulaya, Amemaliza ziara yake na ametua salama nyumbani. Bob Junior ametumia ukurasa wake wa Facebook kuyasema ya moyoni baada ya ziara hiyo kumamilika. Na hichi ndicho alichoandika kupitia ukurasa wake wa Facebook “OOOH ITS OFFICIAL NIMERUDI SALAMA… Read More →
Jana Mwanamuziki Izzo Bizness Alizindua ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la LOVE ME alioifanya Mj Records, Wasanii wengine walio msuport katika usiku huo pia alikua ni pamoja na Shaa na Barnaba Boy. Shadee na Barnaba Izzo Na Barnaba Hapa Barnaba anaonekana akiwa anaimba … Read More →
MWIMBAJI ambaye pia ni bosi wa Kundi la Mashauzi Classic, Aisha Ramadhan Makongo ‘Mashauzi’, Jumatano iliyopita alikumbwa na masaibu mazito kufuatia kudakwa na polisi wa Kituo cha Msimbazi, Dar akituhumiwa kukwapua mkoba wenye kitita cha shilingi laki saba, elfu hamsini na nane na mia mbili (758,200) mali ya Veronica Tarik…. Read More →
Baada ya kufunika vibaya vibaya katika show yake ya Ujerumani msanii Bob junior aliye kwenye ziara ya kimuziki huko ulaya, Haya ndio maneno aliyoyaandika katika ukurasa wake wa BBM akiwa na furaha isiyo kifani. Bob bado yupo kwenye ziara ya miji mbalimbali huko ulaya…. wasanii waliowahi kwenda huko kufanya show… Read More →
Kitendo cha mtangazaji wa EATV Sam Misago kumtoa nje ya studio Sir Juma Nature weekend iliyopita baada ya kwenda studio kwenye kipindi cha Saturday Night Live akiwa na ndala na kaoshi, hajakichukulia poa staa huyo. Licha ya kuwasilisha malalamiko yake kwenye Facebook kutokana na kitendo hicho, Nature hajaishia hapo na… Read More →