Bongoflava
Mayweather Amshukuru Justin Bieber Baada Ya Kuwasaidia Watoto Wake Kutoka Eneo La Jumapili

Bingwa wa dunia katika masumbwi mkali Mayweather amesema jinsi anavyompenda Justin Bieber haiwezi kuelezeka baada ya Bieber kuwasaidia watoto wa Mayweather katika ajali mbaya iliyotokea ikihusisha watoto wake. Akitoka kwenye duka la pombe huko Hollywood Jumatatu usiku hakusita kutoa ya moyoni juu ya Justin Bieber kwa ukarimu wake aliouonyesha… Read More →
Arjen Robben Aomba Msamaha Kwa Kujitupa Wakati Wa Mechi Na Mexico

Arjen Robben ameomba msamaha baada ya kujirusha katika mechi ambayo Uholanzi ilishinda 2 – 1 katika mzunguko wa 16 wa mwisho lakini amesema haikuwa kwa lengo baya ili apate penati. Kocha wa Mexico Miguel Herrera amemshutumu Robben kwa kujirusha mara tatu katika mchezo ule lakini mchezaji huyo wa Uholanzi kupitia… Read More →
Picha: Road To Mama Press Conference Na Matukio Katika Picha bilicanas Dar Es Salaam

Ijumaa iliyopita ndio Ile safari ya kuelekea tuzo za mtv Music Award “mama” ikijulikana kama Road To mama ilifanyika pale katika ukumbi wa Bilicanas Jijini Dar Es Salaam Kwanza palikuwa na mkutano na waandishi wa habari ambao walielezewa kwa vizuri hukusiana na tuzo hizo na waandishi kupata nafasi ya… Read More →
Tuzo Za Muziki Tanzania Matukio Kiasi Kutoka Kwenye Camera Ya Simu Yangu

Jana nilikua Busy Kidogo kwa hivyo muda niliokuwa napata kidogo nilikuwa natumia kuchkua matukio yalio karibu na mimi mengine ya kinihusisha mwenyewe kwa Selfie (picha za kujipiga) mwenyewe kwasababu uapnde niliokuwa kila mtu alikuwa busy Bahati mbaya sana jana nilifanyakazi BackStage so hata vilivyokua vinaendelea huko mbele hata na mie… Read More →
Hawa Ndioa Washindi Tuzo Za Muziki Tanzania, Diamond Avunja Rekodi Ka Kupata Tuzo Saba

1.Tuzo ya Wimbo bora wenye vionjo vya asili ya Tanzania ilichukuliwa na wimbo wa Bora Mchawi ya Dar Bongo Massive. 2.Tuzo ya msanii Bora chipukizi anayeibukia ilichukuliwa na Young Killer. 3.Tuzo ya wimbo bora wa Zouk imechukuliwa na wimbo wa Yahaya wa Lady Jay Dee. 4.Tuzo ya wimbo wa Afropop… Read More →
Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2014 live

“NICE AND SLOW” WIMBO WA BABY MADAHA WATAJWA KUWANIA MTV EUROPE AWARD

Wimbo wa Baby Madaha uitwao ‘Nice and Slow’ umechaguliwa kuwania tuzo za MTV Europe mwaka 2014. Msanii huyo wa Candy n Candy Records, ameiambia Bongo5 kuwa kwa sasa anasuburi kutumiwa code kwaajili ya kuuwezesha wimbo huo kupigiwa kura “Nilitoa song inaitwa ‘Nice and Slow’ ni whisper song (wimbo wa kunong’oneza) haiendani na… Read More →
New Music: D.Manyuti-Bodaboda Coming Soon

Hivi Unajua Kuwa Ile Beats Ya Wimbo Wa Yahaya Wa Lady Jay Dee Ushawahi kupigwa Chini Na Msanii Mmoja Mkubwa Africa?

kweli kila jambo lina wakati na muda wake, hivi unahabari kwamba beats ya wimbo wa Yahaya wa Msanii Lady Jay Dee Ulikua utumike katika wimbo mwingine wa Lady Jay Dee aliowahi kuufanya na msanii Mkubwa sana hapa barani Afrika? Ikiwa Exclusive jana Man water ambaye ndio Producer wa ngoma hiyo… Read More →