Maskini Diamond Platinum Mwisho kayatoa ya Moyoni Mpaka Nimemuonea Huruma

Maskini msanii Diamond Platinum Yamemfika kooni, kaamua kiyatapika, ni baada ya watu kibao kutafuta kick kupitia mgongo wake, baada ya ukimya mrefu kutojibu sehemu yeyote baada ya tuhuma nyingi zinazotolewa juu yake kaonyesha hata yeye ni binadamu na hana moyo wa jibwe bali wa nyama. Haya ndio aliyoyasema kupitia… Read More →