LADY JAY DEE NA DJ TASS LEO MEZA MOJA NDANI YA SHOW YA KWETU FLAVA MAGIC FM

USIKOSE KUSKILIZA SHOW KALI YA KWETU FLAVA LEO FEB, 12 , MIDA YA SAA TATU USIKU MAGIC FM. DJ TASS ATAFANYA MILAZO YA HATARI KATIKA MOJA NA MBILI HUKU THE LEGENDARY LADY JAY DEE AKIWA PEMBENI ANAJIBU MASWALI YA HAPA NA PALE. SI YA KUKOSA KUMBUKA SAA TATU KAMILI USIKU… Read More →