Ndoa Ya Omotola Jalade Yafananishwa Na Ya Rais Obama Wa marekani

Juma mosi iliopita Muigizaji kutoka NoolyWood Omotola Jalade na mume wake Matthew walisherehekea miaka 17 ya ndoa yao huku pia ikiwa ni sikukuu ya kuzaliwa ya Mume wake. Ndoa ambayo ilifungwa kiserekali mwaka 1996 na kimilia ilifungwa mwaka 2001. Omotola akiwa na mume wake Omotola alikutana na mumewe katika umri… Read More →