Filamu ya kitanzania ya Ray of Hope weekend hii imeshinda tuzo za African Magic Viewers Choice Awards (AMVCA) 2013 zilizotolewa nchini Nigeria.
Ray of Hope imeshinda kipengele cha Best Local Language Swahili. Waigizaji katika filamu hiyo ni pamoja na Pastor Myamba, Baby Madaha, Mzee Chilo, Thea na Ken Victor huku muongozaji akiwa Sameer Srivastava na Sajni Srivastava.
Mwaka jana filamu hiyo iliyotengenezwa chini ya kampuni ya Pilipili Entertainment pia ilishinda tuzo za ZIFF kama filamu bora ya Afrika Mashariki.
Washindi wengine wa tuzo hizo ni pamoja na:
Best Costume Designer – Ngozi Obasi (The Mirror Boy)
Best make up Artiste – Jacgui Bannermen (Otele Burning)
Best Art Director – Anita Van Hermet & Chantel Carter (Otelo Burning)
Best Lighting Design – Dave Howe (Otele Burning) Click read more to see the rest of the winners.
Best Cinematography – Paul Michelson (Man on Ground)
Best Writer in a Comedy – Tim Greene (Skeem)
Best Local Language Hausa – A. Ali and Hafizu Bello (Faida Nura)
Best Local Language Yoruba – Tunde Kelani (Maami)
Best Television Series – Godfrey & Marie Lora-Mungai (The XYZ Show)
Best writer Drama – Precious & Amaka Obi Emelonye. (The Mirror Boy)
Best Short Film – Ngendo mukii (Yellow Fever)
Best Actress in a Comedy – Mercy Johnson (Dumebi the Dirty Girl)
Best Actor In A Comedy – Hafiz Oyetoro (House Apart)
Best Supporting Actress In A Drama – Maureen Koech (Lies that Bind)
Best Supporting Actor In A Drama – Mathew Nabwiso (A Good Catholic Girl)
Best Actress In A Drama – Jackie Appiah (Perfect Picture)
Best Actor In A Drama – O.C Ukeje (Two Brides And A Baby)
Best Movie Director – Akin Omotoso (Man On Ground)
Best Comedy Movie – Tim Greene (Skeem)
Best Movie In A Drama – Obi Emelonye (The Mirror Boy)
Best Movie Overall – Othelo Burning by Sara Blecher.
Story na bongo5.