TID NAYE AGOMA KUSHIRIKI KATIKA SHOW YA LADY JAYDEE
 
					
	    	
	    			
	    		
	    		Show ya miaka 13 katika muziki ya Lady Jaydee inazidi kupata pigo baada ya TID kuwa msanii mwingine latest kujitoa kwenye show hiyo. Moja ya sababu anayosema TID ni kuwa ana mkataba mwingine wa show unaolipa zaidi.. Sababu ya pili ni kuwa hataki kuwa katikati ya ugomvi wowote. Hivi ndivyo… Read More →




 
					
	    	
	    			
	    		
	    		 
					
	    	
	    			
	    		
	    		 
					
	    	
	    			
	    		
	    		 
					
	    	
	    			
	    		
	    		 
					
	    	
	    			
	    		
	    		 
					
	    	
	    			
	    		
	    		