Zoezi La kupiga Kura kwa Wasanii kwenye Kill Music Awards Lazinduliwa
 
					
	    	
	    			
	    		
	    		Zoezi la kupigia kura wasanii kwenye tuzo za Kili limezinduliwa leo ambapo kamati ya maandalizi leo imekutana na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuelezea utoaji taarifa zinazohusisha mchakato wa kupata washindi katika kila kipengele. “Tarehe 2, mei 2013 ndio ilikuwa siku ya kwanza ya upigaji kura na zoezi… Read More →




 
					
	    	
	    			
	    		
	    		 
					
	    	
	    			
	    		
	    		 
					
	    	
	    			
	    		
	    		 
					
	    	
	    			
	    		
	    		 
					
	    	
	    			
	    		
	    		 
					
	    	
	    			
	    		
	    		 
					
	    	
	    			
	    		
	    		