Kumbe Goldie Alikua Mke Wa Mtu, Tena Muke Ya Muzungu

Mwanaume wa kizungu aitwaye Andrew Harvey, anayedai kuwa amemuoa msanii wa muziki nchini Goldie Harvey aliyefariki juzi usiku amejitokeza na kupost picha za ndoa na mahaba wakiwa pamoja. Andrew alishare picha hizo pia kwenye mtandao wa twitter na kuliambia gazeti la Nigeria Entertainment Today kuwa ana admin access za akaunti… Read More →