Show Mpya Ya TV “WOMEN’S EMPOWERMENT SHOW” Wanawake Waliofanikiwa Wanaonekana Hapa

= Elimu, Kuwaezesha na kushawishi ndiyo dhumuni la kipindi cha “Women’s Empowerment Show”, Dhumuni kubwa ni kuwaleta wanawake waliofanikiwa na kutazama wamefanya kipi cha tofauti kwenye jamii na jinsi wanavyoweza kushawishi wengine kufanya hivyo. Mgeni wa kwanza kwenye kipindi hiki alikuwa Dk. Trish Scanlan ambaye anaendesha kitebgo cha paediatric… Read More →