“Mimi Ni Yanga”
Kundi la muziki wa kizazi kipya la P.STAR linaloongozwa na goli kipa wa zamani wa timu ya Yanga ambaye pia ni kocha wa makipa katika timu hiyo Bw. Juma Pondamali (Mensah), akiwa na kundi hilo, wamerekodi wimbo maalum wa timu ya Yanga, unaoitwa “Yanga Mbele” ukiwa ni wimbo wa kushangilia… Read More →