Video: Mtangazaji Wa E News Giuiliana Rancic Aomba Radhi Hewani kwa Kumtusi Muigizaji Zendaya Kuwa Rasta Zake Zinanuka Bangi
Sakata la Mtangazaji wa kituo kikubwa cha Burudani Cha Marekani E NEWS Giuiliana Na Muigizaji Zendaya Kuhusu Bangi limechkua hatua nyingine baada ya mtangazaji Giuliana Kuomba Radhi Hewani Zaidi Ya Alivyoomba kupitia mtandao Wa Tweeter Wakati wa kipindi cha Fashion Police cha kituo HICHO anachofanyia kazi mtangazaji huyo, wakati wa… Read More →