Msanii Wa Bongo Flava Mez B Azikwa Mjini Dodoma
Maelfu ya watu wa mji wa Dodoma wamejitokeza kuaga mwili wa aliyekuwa msaniiwa muziki wa kizazi kipya marehemu Mez B viwanja vya Mashujaa leo mchana mjini Dodoma.Baada ya kuagwa mwili wa marehemu Mez B, mwili huo ulipelekwa kwenye makaburi ya Wahanga yaliyopo eneo la Maili Mbili mjini Dodoma na kufanyiwa… Read More →
