Rais Kikwete Ampongeza Diamond Kwa Kuletea Taifa Heshima
Rais Kikwete Ampongeza Diamond Kwa Kuliletea Taifa Heshima Kupitia Tuzo Za Muziki Alizozipata Nchini Afrika kusini kwenye Tuzo za Channel O Pamoja na ile ya Nigeria Jana Kupitia ukurasa wake wa InstaGram Diamond Alishare Picha Akiwa Na Mh, Rais Kikwete Ikulu Jijini Dar Es Salaam bila kuandika chochote
