Jana Dec 21st Mwanamuziki Nguli Sir Elton John Na mpenzi wake wa siku nyingi David Furnish walioana Rasmi baada ya kuwa katika mahusiano kwa miaka 9
Wapenzi hao walifunga ndoa yao mbele wa yamilia na wanafamilia wao pamoja na ndugu jamaa na marafiki wa karibu pamoja ma watu mbali mbali maarufu bila kukosa kwa watoto wao Zachary na Elijah
Wote kwa pamoja walikuwa na kiu ya kushare Furaha Yao na ulimwengu mzima hivyo walitumia wasaa huo ku post picha zao Instagram za tukio hilo kadri lilivyokuwa linaendelea huku waki #sharethelove.
Tazama Tukio Hapa Kwa Picha