Victoria Kimani Asisitiza Wasanii Wa Kike Waheshimiwe
Akiongea na gazeti Nigeria, Olori super girl, Victoria Kimani alieleza kitu kibwa kilicho miongoni mwa jamii katika kiwanda cha burudani kwamba wanawake wengi hawaheshimu na wanapokea mashambulizi mabaya wakati tayari wanafanya juhudi kwa kufanya kazi sana ili wawe na mafanikio. Alitaja mawazo yaliyoenea kwa sasa kwamba wanawake lazima ajiamini ili… Read More →