Funkmaster Flex Asema Alimtambulisha Nas Kwa Biggie
Kitabu cha Biggie kilianza kuandikwa na Funkmaster Flex na Karen Hunter, Funkmaster Flex na muandishi Karen Hunter wameungana kuandika kitabu kuhusu Notorious B.I.G kwa kupitia publishe Simon & Schuster taarifa za Hot New Hip Hop zimeeleza Tovuti hiyo imeeleza kwamba kitabu kinazungumzia ngoma ya “Who Shot Ya” halisia ilitakiwa iwe… Read More →
