“Juma Nature Sipo Nae Kikazi Tu Lakini Sio Vinginevyo” – Fella
Kiongozi wa kundi la TMK Wanaume Family Said Fella amesema mahusiano yake na msanii wa kundi la TMK Wanaume Halisi Juma Nature wao hawahusiani kwenye kazi tu mfano kumsimamia kazi zake za kimuziki lakini kwenye mambo mengine wao ni waskaji wanaongea na kushirikiana. Fella alisema hayo wakati akipiga stories na… Read More →
