Kim Kardashian Asukumwa Akiwa Paris Na Kanye West Kwenye “Fashion Week”
Kim Kardshian alisukumwa wakati akiwasili kwenye Fashion Week event akiwa na mama yake pamoja na Kanye West taarifa za TMZ zimeeleza. Wawili hao walikuwa wakiwasili kwenye Fashion Week huko Paris jana Alhamisi Septemba 25 , Kim K akiwa na Kanye West na mama yake Kris Jenner ndipo aliposhambuliwa. Video iliyopostiwa… Read More →
