Chriss Brown Aeleza Ilivyomsumbua Alipokuwa Mnene
Chriss Brown anasema jela ilikuwa fresh sana na kwamba jinsi alivyokuwa akihudumiwa ilikuwa ni vizuri zaidi. Chriss ambaye aliongezeka sana alipokuwa jela anasema uzito aliokuwa nao ulimbadilisha kwa kiasi kikubwa. “Uzito wangu wa kawaida ni kama kilo 180, nilipotoka jela nilikuwa na kilo 215, niliwaza sana inakuwaje kwa sababu hata… Read More →
