Princess Of R&B Ya Aaliyah Kuonyeshwa Novemba 15
Channel ya Lifetime imetangaza tarehe ya kuonyeshwa “Aaliyah: Princess of R&B” Princes of R&B kwa mara ya kwanza itaonyeshwa Novemba 15 kutokana na tweet ambayo imekuwa tweeted na account ambayo imethibitishwa (verified) ya Channel hiyo. Alexander Shipp ataonekana kama Aaliyah ambaye alikufa kwa ajali ya ndege mwaka 2001. Chattrisse Dolabaille… Read More →
