Gucci Mane amefungwa miaka mitatu zaidi kuendelea kukaa jela baada ya kumpiga mtu na chupa.
Gucci Mane amekutwa na kosa hilo la kushambulia juzi Septemba 15,
Repa huyo alifungwa miaka mitatu kwa kumshambulia askari (Army staff sergent) kwa kumpiga na chupa kwenye klabu ya usiku ilikuwa Machi 16, 2013. Imeripotiwa kwamba askari huyo alienda kwenye eneo la VIP alilokuwepo Gucci Maine na alikuwa akitafuta kupiga picha na repa huyo kabla hajapigwa na chupa.
Mwasheria wa Wilaya Paul Howard aliongelea swala hilo kutokana na Atlanta Journali-Constitution.
“Badala ya kumpokea shabiki anayekufurahia, ndugu Davis, na bila sababu ya maana unampiga chupa ya vodka kichwani na kwa haraka kuondoka katika club hiyo, askari huyo aliumia sana kwa mbele ya uso wake ambapo palihitachi kushonwa nyuzi 10.
AJC inaripoti kwamba haiku wazi kama atapewa sifa wakati akitumikia kifungo chake.
Gucci Mane pia alikutwa na makosa mengine la kukimbia polisi mwaka 2011 na kushambulia tena 2005, AJC inaeleza kwamba Gucci Mane alikuwa akishtakiwa kwa kosa la mauaji baada ya kmpiga repa Macon ambaye alisema alimpiga, lakini makosa hayo yalifutwa.
Mwaka 2008 Gucci alikutwa na makosa huko Henry County lakini waliofanyiwa makosa walishindwa kuthibitisha taarifa za AJC zilieleza, lakini kwa sasa Gucci Mane afungwa jela miaka mitatu.
Gucci Mane Afungwa Miaka Mitatu
Previous Story
Jay Z Na Beyonce Warekodi Albamu Ya Pamoja
Related Posts
-
-
Video: Jinsi Ommy Dimpoz Alivyorushiwa mawe na chupa kwenye show ya Kili Tour Mjini Dodoma
-
Bonyeza Humu Ukawatazame Madiva Katika Red Carpet Ya Red Ribbon Iliyofanyika Jana JumapilI Mlinani City
-
Tecno Afuta Picha Zote Za Instagram Zinazomwambia R.I.P Kutoka Kwa Mashabiki Wa Tanzania
-
“Life Is A Task” Baada Ya Mapumziko Marefu Lady Jay Dee Kupiga Show Leo Ijumaa 31/10/2014
-
Chris Brown Huenda Akarudi Tena Jela Kwa Kosa La Kuwatolea Maneno Machafu Washabiki wake
-
Video: Interview ya Barnaba na Amini,washaokota vyuma chakavu kabla ya kuwa wanamuziki,