“X” Albamu Ya Chriss Brown Kutoka Septemba 16, Pia Aonyesha Ngoma Zinazopatika On The Albam
Muimbaji wa r&b na pop star Chriss Brown ametangaza albamu yake ya sita inayoitwa “X” kwamba ipo tayari na katika albamu hiyo yupo mkali katika gemu la Hip Hop Kendrick Lamar ambae kwa sasa ana miaka 23 tu lakini ameleta ushindani katika Hip Hop na kupata mafanikio kwa muda mfupi… Read More →
