
Jana Mtandao Wa TMZ ulimvizia mama wa Beyonce ’60’ akiwa katika shughuli zake na kumtwika swali la kile kinachoendelea juu ya tetesi za kuachana kwa mwanae na mumewe Jay z
Mama huyo alijibu kuwa hakuna kitu kama hicho na kwamba ndoa hiyo haina tatizo lolote na kwamba hayo ni mambo ya hates tu ambao lazima waongee tu
Kuhusu kama anakereka kuhusiana na tetesi hizo zinazoenea kwenye mitandao juu ya swala hilo amesema wala hata hana habari maana hajisumbui kusoma hayo mambo ya kipuuzi
