Watu 11 Wakamatwa Kwenye Tour Ya “On The Run” Ya Jay Z Na Beyonce Toka Ilipoanza
Mtu mmoja alikamatwa baada ya kumng’ata mtu mkono wakati wa show ya On the Run huko Pasadera wikiendi iliyoisha. Ikiwa Jay Z na Beyonce wakiwa katika show mbili za mwisho nchini Marekani wiki hii. Watu 11 wameripotiwa kukamatwa huko Pasadena. Jumamosi Agosti 2 kati ya wale waliokizuizini, mtu mmoja alikamatwa… Read More →
