Izzo B Alijulikana Kama Msanii Tu, Sasa Kutoka Na Bidhaa Zake

Msanii mkali katika gemu la Hip Hop Ongea Na Mshua Songstress, repa kutoka Mbeya Izzo Biznezz amesema anatoka na bidhaa zake baada ya kuwa msanii tu kitu ambacho ndo alijulikana nacho bila kuwa na bidhaa. Izzo Akiwa Na Watangazaji Wa DalaDala Beats Tee Jay Na Jj Kwa sasa Izzo Biznezz… Read More →