Brazil Yafanikiwa Kuifunga Colombia Nakutinga Nusu Fainali
Brazil imeingia nusu fainali ya kombe la dunia linalofanyika nchini kwao toka Juni 12 hadi Julai 13 2014, Brazil wamefanikiwa kusonga mbele baada ya kuifunga Colombia 2 – 1 katika mchezo mkali uliohusisha timu zinazojuana zote kutoka Marekani ya kusini. Historia inaoyesha Colombia haijawahi kuifunga Brazil nyumbani na katika michezo… Read More →
