Red Carpet: Tuzo Za Watu

Jana Ijumaa June 27 pale Serena Hotel Dare Salaam Ndipo Zilipofanyika Tuzo Za Watu Zilizokuwa zimeandaliwa na Mtandao Wa Bongo Five Na kushirikisha Wananchi katika swala la upigaji kura kwa vipengele vilivyokuwa vimeandaliwa Tuzo Hizo Ambazo zilitoa mualiko kwa watu maalum kutoka katika media, wasanii, wadau wa sanaa kwa ujumla… Read More →