
Jana Ijumaa June 27 pale Serena Hotel Dare Salaam Ndipo Zilipofanyika Tuzo Za Watu Zilizokuwa zimeandaliwa na Mtandao Wa Bongo Five Na kushirikisha Wananchi katika swala la upigaji kura kwa vipengele vilivyokuwa vimeandaliwa
Tuzo Hizo Ambazo zilitoa mualiko kwa watu maalum kutoka katika media, wasanii, wadau wa sanaa kwa ujumla hazikuwa na kiingilio hivyo kuwafanya wapiga kura kufuatilia washindi wao kupitia Extream Live waliorusha Mtandao wa bongo 5 pamoja na kutumia Media Na Mitandao ya Kijamii
Hizi Ni picha Za zuliani kwa waliohudhuria
2
