Mtoto Wa Kanye Na Kim ,North Asafiri Mwenyewe Kwa Mara Ya Kwanza Kutoka NYC kwenda LA

Mtoto Mdogo wa Kim kardashian na kanye West North Ambaye Ametimiza mwaka mmoja majuzi tu hapa, Amesafiri katika khadhi ya 1st Class peke yake bila wazazi wake kwa mara ya kwanza akitokea NYC kwenda LA, Akiwa na mlezi, muuguzi na mlinzi wake mtoto North alionekana wakishuka Kutoka Kwenye ndege na… Read More →