Mtoto Mdogo wa Kim kardashian na kanye West North Ambaye Ametimiza mwaka mmoja majuzi tu hapa, Amesafiri katika khadhi ya 1st Class peke yake bila wazazi wake kwa mara ya kwanza akitokea NYC kwenda LA,
Akiwa na mlezi, muuguzi na mlinzi wake mtoto North alionekana wakishuka Kutoka Kwenye ndege na kuingia kunako Gari ya baba yake aina ya maserati Iliyompeleka Nyumbani
Sababu ya kutosafiri na wazazi wake ni kwamba kila mmoja alikuwa kivyake katika harakato zao za ubusy
Kanye ambaye ni baba wa mtoto Alikuwa nchini ufaransa ambaye yeye alienda Miami, Kim yeye alienda NY na North Lakini Baadaye Alimuacha na kwenda France
Mwisho wa siku mama na mtoto kila mmoja alisafiri kivyake kurudi nyumbani
Hii Ndio Jeuri Ya Pesa