Picha: Hatimae JayZ Na Beyonce Wamchana Nywele Mtoto Wao Ivy Blue Baada Ya Kejeli Iliyowahuzi Juu Ya Kumchana Nywele Mtoto

Ikiwa ni siku chache tu zimepita tangu baadhi ya watu waliojiita wazazi kuanzisha mjadala na kampeni ya kuwataka wazazi wa Mtoto Blue Ivy Beyonce na Jay Z kumchana Nywele Mtoto wao katika mitandao ya kijamii hasa Tweeter Hatimae kilio hicho kimesikika na kwamba wazazi hao wamemchana mtoto wao nywele Blue… Read More →