Wema Sepetu Awapaka Masnich Wanaozingua Penzi Lake Na Diamond

Drama Continue, kama kawa wazee wa drama wamelipuka tena mara hii kaanza Wema kupitia Instagram yake, kawachana masnich wanaoingilia penzi lake taaam na bwana wake Diamond, tena kawacha na hasaaaaa Huku akiambatanisha Picha inayomuonyesha Diamond Usingizini Akiwa Na Alama Ya LIPS shavuni kwakwe inayoashiria Busu bichii limepigwa wakati huo maneno… Read More →