COLOR OF THE YEAR 2014, Ingia humu ujionee Rangi Hiyo INavyopambika Katika Kila Sehemu

Dj mkali kutoka Tanzania kwa sasa anaye make headlines kwenye ma club yote makubwa Katika Jiji la Dar Es Salaam Ambaye pia ni RadioDj @Magic Fm Ataiwakilisha Tanzania katika show kubwa itakayohusisha MaDj kutoka East Africa Nchini Uganda katika mkesha wa kuamkia mwaka 2014 Ma Dj wengine watakaonogesha usiku huo… Read More →
TAMASHA KUBWA LA WATOTO SIKU YA CHRISTMAS TAREHE 25,26 NA 27 LADGER PLAZA BAHARI BEACH, NI TAMASHA PEKEE TANZANIA NA KUBWA KUWAHI KUTOKEA LITAKALOVUMBUA VIPAJI VYA MTOTO WAKO NA KWA USAJILI WA FOMU YA SHS 5000 TU ITAKAYO VUMBUA KIPAJI NA ZAWADI YA SHS MILIONI TANO SIKU YA TAREHE 25… Read More →
Msanii wa ney wa mitego ameibiwa vifaa vya Gari lake aina ya Toyota Verossa lenye Number T418 CGK wakati amelipaki Nyumbani kwake, Msanii huyo amefanyiwa kisa hicho mara tu baada ya kuzungumza jana katika kituo cha magic Fm kuhusu kuepukana na karaha za madaladala kama vile wazee wa kazi walikuwa… Read More →
Msanii wa Filamu Nchini Kajala Masanja ameamua kufunguka na kutoa ya moyoni baada ya kuchoshwa na uzushi ulioenea sana juu ya mahusiano yake na mume wa mtu.. Kama Binaadamu Kajala amekiri kuumia na kuchoshwa na uzushi huo ambao kwa mujibu wake si kweli Kumekuwa na Uzushi wa siku nyingi kuwa… Read More →
Msanii wa muziki wa kufoka foka Kutoka Tanzania Ney Wa Mitego anayetamba kwa sasa na Wimbo wake wa Muziki Gani, Huku Akiwa Ametoa Wimbo Mpya Kwa sasa unaoitwa NAKULA UJANA, Amesema leo alipotembelea office Za Magic Fm wakati wa Mahojiano na Katika Kipindi Cha Busati Kinachoongozwa na Mishi B, Allen… Read More →
Mbunge wa viti maalum leo amemchachafya Mrembo wa Tanzania kwa mwaka 2011 Brigitte Alfred baada ya kuibua hoja kuwa mrembo huyo hana sifa ya kuiwakilisha Tanzania Kutokana na kwamba hajui kiswahili, Mimi Binafsi Niliwahi kufanya maojiano na mrembo huyo kabla hajawa mshindi akiwa mrembo wa kinondoni na ninachokumbuka maelezo yake… Read More →
Kuwa Mrembo si kupaka poda tu na kusubiri wanaume wakutongoze ndio upatie maisha hapo, kama wengi wao wafikiriavyo, Urembo ni nafasi nzuri ya kukufanya kuwa kwenye nafasi muhimu zaidi duniani hivyo ndivyo afanyanyo mrembo wa mashindano ya urembo ya TANZANIA kwa Mwaka 1999 Hoyce Temu Ambaye pia ni mtaalam wa… Read More →