Picha:Peter Okeye Wa P’square Afunga Ndoa Ya Kimila,Msanii Wa Tanzania Diamond Ni Moja Ya Waalikwa
Msanii wa kundi la P’square linalounganisha waanii mapacha kutoka Nchini Nigeria Peter Okay Amefunga ndoa ya kimila Jana jumapili 17Nov na Mama Wa Mtoto wake Lola Ambaye alimvisha pete ya uchumba kwa zawadi ya Gari ain ya Range Rover miezi michache iliyopita’ Peter Anafunga Ndoa Baada ya Muda Mfupi Kuja… Read More →
