Msanii wa filamu Tanzania Jac Wolper ametoa maelezo ya kilichomsababisha kuirejea dini yake ya ki kristo Aliyokuwa Ameikana Na Kuwa Muislam Mara Baada ya Kuahidiwa Kuolewa na Aliyewahi kuwa mpenzi wake dallas.
Jac Wolper Amewaeleza Mashabiki zake kupitia Mtandao wake wa Picha INSTAGRAM kwa nini Ameamua kufanya maamuzi aliyoyafanya ya kuirejea Dini yake huku akisisitiza hahitaji maswali baada ya maelezo hayo
Msanii huyo Mwenye muonekano na haiba ya kuvutia Alibadilisha Dini na kuwa Muislam baada ya Aliyekuwa Mchumba wake Dallas kumbadilisha ili amuoe lakini ndoa hiyo iliota mbawa
Haya Ni Maelezo yake akiwa anatoka kanisani leo jumapili