Mwanamuziki Lady Jay Dee Kufanya Bonge La Partyyyy, Mvua Ikinyesha Kesho, Kunani Kesho.

BONYEZA HEADING KUONA TWEET YAKE ALIYOTANGAZA SHEREHE HIZO
Mwanamitindo wa kimataifa Flavianna Matata Amezindua Rasmi Mradi Wake Wa Flavianna Matata Foundation Stationary kwa kugawa Vifaa katika shule ya msingi Minazini Iliyopo Mwananyamala Jijini Dar Es Salaam Flav Ametowa vifaa vya Shule kama Madaftari na Pencils. Bonyeza Heading Kuona Picha za tukio Hilo
Madaam Madaam Wema Sepetu Bila Kung’ata ng’ata maneno wakati anahojiwa na muandishi wa Gazeti la Amani kuhusu Habari zilizovuja kuwa Safai yake ya China ilikua mahsusi kwaajili ya kufanyia matengenezo ngozi yake (SURGERY) Amekiri huku akisisitiza ni kutokana na kashfa alizokuwa akimwagiwa na wabaya wake kuhusu uharibufu mkubwa wa ngozi… Read More →
Sijui kuna siri gani ya tarehe hii 21 october kwa msanii wa marekani wa kufoka foka Baba North West Kanye West, hii ni kutokana na Aliyewahi kuwa mpenzi wake Amba Rose na mpenzi wake wa sasa baby mama wake Kim Kardashian wote wanasherehekea siku yao ya kuzaliwa kwa siku moja… Read More →
Msanii wa marekani Rihanna ametakiwa kuondoka nchi ya Abu Dhabi alipokua kwenye tamasha lake la Doiamond Tour linalozunguka Dunia nzima baada ya kupiga picha zinazotajwa kuvunja miiko na maadili ya nchi hiyo katika msikiti wa Sheikh Zayed Grand Rihanna alivunja maadili ya nchi hiyo baada ya kupiga picha hizo na… Read More →
HAYA WAKINA DADA MNAOJIPENDA NA KUJUA VITU VIZURI HABARI IPO HUKUUUU LOUIS VUITTON, LOUIS VUITTON, LOUIS VUTTON HAND BAGS ORIGINAL KABISA HAPA MUJINI DAR ZINAPATIKANA PEKEE KWA THE DIRECTOR JOHANNA J SQUARE KINONDONI OPP NA HUGO HOUSE , MASTAA WOTE MUJINI WANABEBA LOUIS VUITTON HAND BAGS WEWE UNASUBIRI NINI??/ BEI… Read More →
Wakati ile movie ya Temptation iliozua Gumzo Jijini iliyowakutanisha tena Msanii wa muziki Diamond na Mcheza Filamu Wa Tanzania Wema Sepetunga ambao waliwahi kuwa wapenzi ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa Diamond Na Wema Week End Hii diamond Amekua na Show Ya kukata na shoka huko Guangzhou huku baadhi ya… Read More →
Rihanna ameamua kutumia Ziara yake ya kimuziki Vizuri sana kwa kutembelea vivutio katika nchi anazotemebela katia ziara yake hiyo ambaypo ni ya kikazi lakini akiwa ameongozana na Familia yake akiwemo Mama yake Mzazi, Akiwa Nchini Afrika ya Kusini alitumia wakati huo kwa kutembelea mbuga za wanyama na viumbe wa majini,… Read More →
Baby Mama wa Mwanamuziki Kanye West na Mama wa mtoto North West apondwa na mashabiki zake baada ya kupost picha kupitia mtandao waInstaGram akionyesha Umbo lake zuriii baada ya miezi minne tangu ajifungue Kim ambaye anamiliki Duka la mavazi pamoja na familia yake amekuwa mwanamitindo wa duka hilo katika… Read More →