Rihanna ameamua kutumia Ziara yake ya kimuziki Vizuri sana kwa kutembelea vivutio katika nchi anazotemebela katia ziara yake hiyo ambaypo ni ya kikazi lakini akiwa ameongozana na Familia yake akiwemo Mama yake Mzazi,
Akiwa Nchini Afrika ya Kusini alitumia wakati huo kwa kutembelea mbuga za wanyama na viumbe wa majini, kwa marahii akiwa katika muendelezo wa Ziara yake hiyo katika nchi za UAE huko Abu Dhabi ameonekana akiwa katika msikiti mkubwa ikiwa ni ishara ya kutembelea na kujionea imani ya dini ya kiislam na tamaduni za huko huku akionekati katika mapozz tofauti tofauto ndani ya msikiti huo akiwa amevalia mavazi meusi na hijabu
Unaweza kusema Rihanna kawa muislam
Rihanna Ameshare picha zake kupitia mtandao wa Instagram akiwa ndani ya msikiti