Kim Kardashian Amiss Mwanae North West, Huu ndio Ujumbe alio Post Ukiambatana Na picha.

“I MISSED WAKING UP WITH MY LITTLE”
Wakati bado akiwa katika jiji kati ya majiji yanayosifika kwa starehe Duniani Paris Ufaransa Baby Mama Wa msanii wa muziki wa kufoka foka Kanye West Wa Marekani ameendelea kushare picha kadha katika mitandao mbali mbali ya kijamii zikiwemo zawadi za mwanae Ambae amekuwa kitendawili kuonekana Sura yake tangu aje Duniani… Read More →
Baada ya kuweka sawa mambo na Producer wake man water msanii twenty percent ameamua kuachia video yake mpya ‘mali za urithi’ Ikiwa ni kama kuwa beep tu mashabiki wake kwa sasa yupo tayari kikazi zaidi. tegemea ngoma kali zaidi baada ya hii ikiwa ni muunganiko wake na mtu wanayefahamiana zaidi… Read More →
Baada ya kufanya vizuri na wimbo wake wa Majanga Msanii wa Bongo Movie alieliteka soko la Bongo Fleva Snura yupo jikoni akiipika Video yake Mpya ya wimbo wa NIMEVURUGWA ambao kwa sasa ndio upo sokoni Kupitia Instagram amepost Picha zinazoonyesha akiwa katika harakati za utengenezaji wa Video hiyo huku akiwa… Read More →
Tazama Picha jinsi Msanii wa kike Wa Marekani Rihanna alivyoamua kucheza kama wacheza uchi katika kumbe za starehe za usiku katika video yake ya ya Pour It up. Rihanna ameweka picha hizi katika mtandao wake wa InstaGram huku ajipost jumbe zinazoonyesha yupo mazoezini akijifunza na kuonyesha kama anafanikiwa kujua mchezo… Read More →
Hatimaye bifu kali kati ya msanii aliyewahi kutwaa tuzo 5 nchini za KTMA na kuvunja rekodi TWENTY PERCENT na aliyewahi kuwa Producer wake na pia ni mshindi wa tuzo ya mtayarishaji bora wa muziki nchini KTMA 2012 MAN WATER limemalizika rasimi leo kwa wawili hao kukutana nakumaliza tofauti zao. Man… Read More →
Ni hivi karibuni tu Rihanna ameonekana katika muonekano mpya wa ajabu na mgumu kwa baadhi ya watu kuuiga kama tulivozoea Rihanna asije na mtindo sasa huu kuna haja ya kufikiria marambili Baada ya muonekano huo Msanii huyo mrembo na mwenye vutuko ameonekana katika picha akiwa katika mapoz mbali mbali kama… Read More →
Mama yake na North West kipenzi ya Kanye west amekuwa mpole sana tangu ajifungue mtoto wake wa kwanza hivi karibuni, hakuonekana sana lakini kwa sasa wazazi hao wamekuwa na safari ya mapumziko katika jiji la Paris chini Ufaransa huku Kim akionekana katika muonekano wa tofauti aliobadilisha nywele zake kwa rangi… Read More →
Boss Lady wakenya kama anavyojitambua mwenyewe Hudda Monroe ambaye kwa mwaka huu alikua ni moja ya Muwakilishi kutoka Kenya katika mashindani ya Big Brother The Chase na kutolewa katika hatua za awal kabisa amefanya kioja cha ajabu kati ya matukio yake ya hatari baada ya kujipiga picha ya makalio yake… Read More →