Wakati bado akiwa katika jiji kati ya majiji yanayosifika kwa starehe Duniani Paris Ufaransa Baby Mama Wa msanii wa muziki wa kufoka foka Kanye West Wa Marekani ameendelea kushare picha kadha katika mitandao mbali mbali ya kijamii zikiwemo zawadi za mwanae Ambae amekuwa kitendawili kuonekana Sura yake tangu aje Duniani North West, Zawadi alizozionyesha Kim Ni nguo zinazoonekana kuwa kubwa huku nyingine zikiwa kama ni za mtoto wa kiume lakini alitumia nafasi hyo kuwashukuru Marafiki na Familia waliomletea Zawadi hizo.
Lakini pia Juzi Kim Alipost Picha inayoonyesha akiwa na familia yake wakati wakiwa wadogo yeye na wazazi pamoja na wadogo zake ikiwa ni kumbu kumbu ya miaka kumi tangu kifo cha baba yake Mze Kardashia liyewaachia utajiri mkubwa
Picha chini ni Zawadi za mtoto North West