Mkenya Avunja Rekodi ya Mbio za Berlin Marathon

Mkenya Wilson Kipsang amevunja rekodi ya dunia ya mbio za Marathon kwa kupunguza sekunde 15 aliposhinda mbio za Berlin mapema jumapili. Mkimbiaji huyo mwenye umri wa miaka 31 aliandikisha mda wa saa mbili dakika tatu na sekunde 23 kuondoa rekodi ya zamani iliyowekwa na Mkenya mwenzake Patrick Makau miaka miwili… Read More →