Filamu Zaidi ya 70 kutoka nchi 20 kuonyweshwa Tamasha la Filamu (Arusha African Film Festival )

KAMPUNI ya Hakika Entertainment inatarajia kuonesha filamu zaidi ya 70 kutoka nchi 20 katika tamasha la pili lijulikanalo kama Arusha African Film Festival (AAFF 2013), kuanzia Novemba 25 hadi Desemba Mosi, jijini Arusha. Kwa mujibu wa Mratibu wa AAFF, Nasir Mohamed, maandalizi ya tamasha hilo yameanza na filamu 70 kutoka… Read More →